Saturday, April 18, 2009

MABANGO YA NJIA TATU BADO YAPO YAPO!

Katika pitapita yangu, nimeendelea kuona mabango yaliyokuwa yanaonyesha matumizi ya "Njia Tatu" kama njia ya kupunguza msongamano wa magari. Ninavyoelewa mimi, utaratibu huo umesitishwa siku nyingi kidogo, je ikitokea mtu akafuata maelekezo ya bango hilo, ataadhibiwa?Bango linaloonekana pichani (kulia)lipo 'Usalama' karibu na taa za kuongoza magari za Magomeni.

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker