Monday, March 2, 2009

Ajali husababisha Ulemavu wa kudumu!Anayeonekana pichani ni muathirika wa ajali ya gari ambayo ilipelekea kupoteza mikono yote miwili. Kutokana na amaelekezo yake ni kwamba, dereva wa gari lililokuwa linakuja upande wa pili alikuwa analipita gari jingine bila kujali kwamba gari lao linakuja mbele na hivyo kusababisha kugongana uso kwa uso. Je, inatosha kwa dereva kama huyo kutozwa faini tu na kuendelea na maisha yake wakati waathirika kama huyu pichani maisha yake ndio yameishaathirika?Wadau hii mnaionaje?

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker