Tuesday, March 10, 2009

HAPA UTASEMA AJALI HAINA KINGA?PICHA INAONYESHA WATU AMBAO WAMEUCHAPA USINGIZI WAKATI GARI LILIKUWA LINATEMBEA. KWANZA WAMELALA JUU YA MABATI AMBAYO NI HATARI, YANAKATA IWAPO TAHADHARI HAITACHUKULIWA. PILI,MLANGO UKO WAZI NA WANAWEZA WAKARUSHWA NJE IWAPO DEREVA ATASIMAMA GHAFLA.
KWA MTINDO HUU, IWAPO AJALI ITATOKEA TUTASEMA AJALI HAINA KINGA?

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker