Thursday, March 12, 2009

Mpaka lini Tutapangwa kama Hivi?Sasa Tuseme!Hawa ni baadhi ya waliopoteza maisha baada ya ajali ya gari. Kwa kweli Inauma sana, kila mmoja anawajibika kukemea uzembe wa wale wote wanaochangia kutokea kwa ajali kama hii.Mimi nimekemea, wewe je?

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker