Tuesday, March 3, 2009

kwa Elimu, Tutashinda?
Picha hizi zinaonyesha mafunzo mbalimbali yakitolewa juu ya matumizi ya barabara. kinachotia moyo ni kuona watoto wakifuatilia kwa makini, bila shaka wakizingatia mafunzo yanayotolewa watakuwa madereva au watumiajiwa barabara wazuri wanaozingatia sheria.
Ninaunga mkono jitihada kama hizi kwani inaonekana kwamba, njia zilizokuwa zikitumika miaka nenda rudi zimeshindwa kuiepusha nchi na jinamizi la ajali.


No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker