Wednesday, March 4, 2009

Kazi katika Mazingira Magumu!Sio kwamba kiwango cha picha si kizuri, hapana! Picha ilipigwa kukiwa na mvua kubwa sana. Askari hawa wa usalama barabarani walikutwa jijini Dar es salaam wakifanya kazi ya kuondoa msongamano wa magari baada ya mvua kubwa kunyesha. Kwa kweli walionyesha kujituma na kufanya kazi bila kujali mazingira yanayowakabili. Big up sana!

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker