Tuesday, March 3, 2009

Je Elimu ya Ajali katika Umri Mdogo Itasaidia?

Nadhani ili kukabiliana na jinamizi la ajali linaloikumba nchi kwa sasa, ni vema kuanza kuwapatia elimu ya usalama barabarani watoto wadogo kama inavyoonekana pichani. nina imani kwamba itawasaidia sana hawa madereva na watumia barabara wa kesho. Wadau mnasemaje kuhusu hili?

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker