
Ni kitu cha kawaida kuona taa za barabarani zimezima kama inavyoonekana pichani, na kuwaaacha madereva wakijaribu kukwepana mpaka ajali inatokea. Lakini cha kushangaza zaidi unamkuta askari wa usalama barabarani akiwa pembeni kama anavyoonekana pichani akionyesha kutojali lakini inapotokea ajali tu, anasogea mara moja. Nafikiri ili kuepukana na tatizo hili, ni vema jiji zima likatumia umeme unaotumia nguvu ya jua kwani umeme wetu hauna uhakika!
No comments:
Post a Comment