Monday, March 9, 2009

MALORI YATATUMALIZA!


Ni muda mrefu kumekuwa na kilio cha wananchi juu ya malori ambayo aidha hayafuati sheria za barabarani au yanaendeshwa "kwa ubabe" kwa kuwa wao ndio wenye njia. Kwa watumiaji wa barabara ya Morogoro ambayo malori huitumia sana,wataungana nami kwamba malori ni kero ya muda mrefu. Pichani linaonekana lori ambalo limeegesha pembeni ya barabara bila alama yoyote.
HOJA :Kutokana na kwamba ajali nyingi zinasababishwa na malori, kwanini jitihada za makusudi zisifanyike kukagua malori na hata madereva wake kama kweli wanastahili kuyaendesha.

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker