Tuesday, March 3, 2009

DOKEZO LA LEO!

SUMATRA YASAJILI MABASI MAPYA 115!
"Zaidi ya mabasi makubwa 115 yamesajiliwa na Sumatra kufuatia operesheni ya kuondoa magari madogo madogo ya abiria(vipanya) katikati ya jiji la Dar es salaam. Afisa Mfawidhi wa Sumatra, Walukani Luhamba, alisema kwamba magari hayo makubwa yenye uwezo wa kuwasafirisha abiria 60 kwa wakti mmoja ikiwa sawa na uwezo wa vipanya 6..............."

No comments:

Post a Comment

This blog gives information about accidents-vehicles,motorcycles,bycycles etc,also highlights the suffering of those involved in various accidents. It gives counselling to the accidents victims and information as to where they can get assistance be it legal or humanitarian.
Health blogs
eXTReMe Tracker